Tuesday, 7 January 2014

VIJANA NA TANZANIA YETU

miaka mingi watu walitabiri kuwa kitakuja kizazi kizuri kitakacho badili historia ya nchi na mtazamo kiujumla. Napenda nikufahamishe kijana mwenzangu kuwa kizazi kilichokuwa kinasubiriwa ni mimi na wewe, hebu tuungane tufanye yale ambayo jamii imeyasubiri kwa mda mrefu.mgt

No comments:

Popular Posts